1 Samuel 5:12

12 aWale ambao hawakufa walipatwa na majipu, na kilio cha mji kilikwenda juu hadi mbinguni.

Copyright information for SwhNEN